Tanzania kunufaika na uwezo wa kiteknolojia wa Iran

Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulifanyika April 27 to May 1, 2025 jijini Tehran kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 38 na wajumbe 51 rasmi. Mkutano huo pia ulifanyika sambamba na maonyesho ya uwezo wa kiuchumi wa Iran yajulikanayo kama IRAN EXPO 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *