Tangazo la ushuru la Trump kwa bidhaa zinazoingia Marekani layatia hofu mataifa ya Ulaya, Canada na Uingereza

Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutangaza ushuru kwa bidhaa za mataifa ya Ulaya , Canada, Uchina ,Uingereza, na nchi nyingine ambazo zimekuwa zikiuza bidhaa zake nchini Marekani, imeibua hofu ya kuporomoka kwa uchumi wa mataifa hayo.