Takribani watu 34 wapoteza maisha kutokana na kimbunga kusini mwa Marekani

Takribani watu 34 wamekufa nchini Marekani, ikiwa ni pamoja na 12 huko Missouri pekee, baada ya kimbunga kibaya kukumba majimbo kadhaa ya kusini-mashariki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *