Takriban watu 1,400 wametiwa mbaroni huku maandamano yakiendelea Uturuki licha ya kupigwa marufuku

Mamlaha husika nchini Uturuki zimewatia mbaroni waandamanaji zaidi ya 1,4000 huku maandamano ya mitaani yakiendelea kushuhudiwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kupinga marufuku ya kuandamana kufuatia kufungwa jela Meya wa mji wa Istanbul, Ekrem Imamoglu kwa tuhuma za ufisadi, kuongoza genge la uhalifu, utovu wa nidhamu na mengineyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *