Takriban Waafghanistan 60,000 wameondoka Pakistan katika wiki mbili zilizopita, kulingana na UN

Takriban Waafghanistan 60,000 wamerejea nchini mwao tangu Pakistan ilipotangaza wiki mbili zilizopita kwamba iimeanzisha kampeni ya kuwaondoa mamia kwa maelfu ya wahamiaji, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limeripoti siku yaJumanne, Aprili 15.

Imechapishwa:

Matangazo ya kibiashara

“Kati ya Aprili 1 na 13, 2025, IOM ilirekodi ongezeko kubwa la idadi ya watu waliolazimishwa kurudi, na karibu watu 60,000 walirejea Afghanistan kupitia vivuko vya Torkham na Spin Boldak,” vituo viwili pekee vinavyounganisha majirani hao wawili, shirika hilo limesema katika taarifa.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *