Taifa la Iran halitalegeza kamba mbele ya vitisho vya mabeberu

Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: “Taifa la Iran limethibitisha kuwa litasimama kidete kukabiliana na ubeberu na vitisho vya viongozi wa Marekani na halitalegeza kamba katika kutetea heshima na misimamo yake.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *