Taathira za kisaikolojia zinazotokana na usomaji wa Qur’ani Tukufu

Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur’ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi ya Aya za Qur’ani na kuyazingatia kwa kina hutuliza moyo wa msomaji na hivyo kumpa somo la kujifahamu; kwa njia ambayo humfanya apate kutambua vizuri uwezo na udhaifu wake katika mazingira tofauti.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *