Taasisi ya Palestina: Siku ya mateka wa Palestina; nembo ya mapambano yao katika jela za Israel

Ofisi ya Habari ya serikali katika Ukanda wa Gaza imetaja tarehe 17 Aprili liyoadhimishwa jana Alhamisi ambayo imepewa jina la Siku ya Mateka wa Palestina kuwa ni inakumbusha mateso, maumivu na masaibu wanayopitia zaidi ya mateka elfu kumi wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *