Taasisi ya Kuthibiti Ubora Mbengu Tanzania (TOSCI) Kanda ya Ziwa imefanya ukaguzi kwenye maduka ya mbegu mkoani Mwanza ikiwa n…

Taasisi ya Kuthibiti Ubora Mbengu Tanzania (TOSCI) Kanda ya Ziwa imefanya ukaguzi kwenye maduka ya mbegu mkoani Mwanza ikiwa n…

Taasisi ya Kuthibiti Ubora Mbengu Tanzania (TOSCI) Kanda ya Ziwa imefanya ukaguzi kwenye maduka ya mbegu mkoani Mwanza ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kudhibiti uuzaji holela wa mbegu zisizokuwa na lebo ya ubora ili kuwanusuru wakulima na hasara.

#AzamTVUpdates
✍ Innocent Aloyce
Mhariri | @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *