
Sweden inataka kuwekewa vikwazo vya Ulaya dhidi ya “baadjhi ya mawaziri wa Israeli” kutokana na kukosekana kwa kuboreshwa kwa hali ya raia huko Gaza, Waziri wa Mambo ya Nje Maria Malmer Stenergard ameliambia shirika la habari la AFP Jumanne, Mei 20.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
“Sweden ni rafiki wa Israeli, lakini (…) ni lazima sasa tupaze sauti zetu kutokana na hali inayoendelea. Tutatetea vikwazo vya Ulaya dhidi ya baadhi ya mawaziri wa Israeli “ambao “wanaunga mkono sera haramu ya makazi na kupinga kikamilifu suluhu ya baadaye ya serikali mbili,” ameandika katika ujumbe kwa AFP.
Taarifa zaidi zinakujia…