Sudan yamuondoa balozi wake nchini Kenya

Uhusiano wa Kenya na Sudan unachukua sura maya, baada ya Kenya kuwakaribisha waasi wa RSF kumanya mkutano wao Nairobi, Sudan imeamua kuondoa balozi wake nchini humo.