Sudan iliiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana Alhamisi kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu umekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuunga mkono vikosi vya wanamgambo huko Darfur, na kuwataka majaji wa mahakamh hiyo kutoa amri ya dharura ya kuzuia mauaji ya kimbari katika eneo hilo.
Related Posts
CHADEMA: Haki ya kikatiba haiwezi kuondolewa na kanuni za Tume ya Uchaguzi ya Tanzania
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema kutenguliwa kwake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ni kinyume cha…

Naibu Rais wa Afrika Kusini: Afrika ijistawishe bila kutegemea Magharibi
Naibu wa Rais wa Afrika Kusini, Paul Mashatile amesema kuwa, bara la Afrika linapaswa kuhitimisha utegemezi wake kwa madola ya…

Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (3)
Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni…