Sudan kukabiliana na watakaojaribu kuunda serikali nyingine

Mjumbe wa Baraza Kuu la Sudan amesema serikali ya nchi hiyo “itapambana na yeyote anayetaka kuanzisha serikali nyingine” katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.