Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu aelekea Addis Ababa, katika ziara ya kuimarisha uhusiano

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Mohammad Baqer Qalibaf, ameondoka mjini Tehran leo asubuhi akielekea Addis Ababa, kwa shabaha ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili.