Spika wa Bunge la Iran: Trump anataka kuwahamisha watu wa Gaza na kupora  ardhi ya Palestina

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu watu wa Gaza na kupora  ardhi ya Palestina na kubainisha kwamba, mpango huo katu haukubaliki.