Spika wa Bunge Iran: Ni wajibu wa Kiislamu kusitisha ‘Mauaji Makubwa Zaidi ya Kimbari Katika Historia’

Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, ametoa wito kwa Waislamu kuimarisha umoja na kuwa sauti ya watu wa Palestina walioko Ukanda wa Gaza, ambao wanakumbwa na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *