Spika Qalibaf: Maendeleo ya ulimwengu wa Kiislamu yanategemea ushirikiano wa Iran na Saudi Arabia

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kuwepo umoja baina ya nchi za Kiislamu na kubainisha kwamba, Iran na Saudi Arabia zinapaswa kutumia fursa iliyojitokeza kuendeleza uhusiano wao sambamba na maendeleo ya Ulimwengu wa Kiislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *