Somalia pia yapinga pendekezo la US kuhusu Wapalestina wa Gaza

Serikali ya Somali imepinga vikali pendekezo la Marekani la la kuwapa makazi Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kwenye ardhi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *