Sisi katika mkutano na afisa wa US, ataka kusitishwa mapigano Gaza

Rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sisi jana Jumapili alitoa wito wa kufikiwa makubaliano ya usitishaji vita mara moja katika Ukanda wa Gaza, na kuwezesha kuingia misaada ya kibinadamu katika eneo hilo lililozingirwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *