Siku ya Quds: Mamilioni ya Wayemen washiriki maandamano ya kuiunga mkono Palestina

Wananchi wa Yemen jana walijitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina ikiwa ni katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambayo huadhimishwa kila mwaka kwa jina la Siku ya Kimataifa ya Quds.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *