Siku mbaya zaidi: Israeli yaua karibu watu 80 wa Gaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN

Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze tena mauaji yake ya kijinai na ya umati kwenye ukanda huo uliozingiwa kila upande.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *