Sheikh Zakzkay: Muqawama umezaliwa upya nchini Lebanon

Kiongozi wa Waislamu wa madhebeu ya Shia nchini Nigeria amesisitiza kuwa, kushiriki mamilioni ya watu katika mazishi ya Mashahidi wa Muqawama ni sawa na “kuzaliwa upya Muqawama wa Lebanon”.