Shambulizi la Israel kwenye hospital lamuua kiongozi wa Hamas na mshirika wake

Shambulio la anga la Israel katika hospitali moja huko Gaza lilimuua kiongozi mkuu wa Hamas na msaidizi wake Jumapili jioni, afisa wa Hamas aliambia BBC.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *