Shambulio la RSF laua raia wanne na kujeruhi wanane katika mji wa Omdurman, Sudan

Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, raia wanane wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) huko Omdurman, mji mkuu pacha wa nchi hiyo Khartoum.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *