Shambulio la anga la Marekani katika mji mkuu wa Yemen laua raia wasiopungua 12, lajeruhi 30

Marekani imefanya mashambulizi mengine ya anga dhidi ya mji mkuu wa Yemen, Sana’a na kuwaua shahidi raia wasiopungua 12 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 30.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *