Shambulio la 3 la kombora la hypersonic la Yemen dhidi ya Ben Gurion

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen wamefanya shambulio jipya la kombora la hypersonic dhidi ya utawala haramu wa Israel na kupelekea sauti za ving’ora vya tahadhari kuhanikiza katika sehemu ya kaskazini ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo pandikizi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *