Serikali ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imeanza rasmi mkakati wa kuliboresha eneo la zamani la makaburi lililogeuzwa na wakolo…

Serikali ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imeanza rasmi mkakati wa kuliboresha eneo la zamani la makaburi lililogeuzwa na wakolo…

Serikali ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imeanza rasmi mkakati wa kuliboresha eneo la zamani la makaburi lililogeuzwa na wakoloni wa Kiingereza kuwa bustani, stendi na soko sasa kuwa bustani ya kisasa.

Lengo la hatua hiyo ni kutoa eneo la kupumzika kwa wananchi, kuenzi historia, pamoja na kuongeza mapato ya Manispaa ya Musoma kupitia utalii wa ndani na biashara ndogondogo.

#azamnewsupdates
✍️Agustine Mgendi
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *