Serikali ya Tanzania yasikitishwa na azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kesi ya Tundu Lissu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasikitishwa na mwenendo unaoendelea kama inavyoonekana katika azimio la Bunge la Ulaya la baadhi ya watendaji wa kimataifa kutoa maamuzi kwa kuzingatia taarifa zisizo kamili

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *