Serikali ya Jordan yaipiga marufuku harakati kongwe ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jordan ametangaza kuwa utawala huo wa kifalme umeipiga marufuku harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin na kuielezea “itikadi” yake inayohubiri kuwa sasa ni ‘haramu’ kisheria nchini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *