Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imelaani mauaji ya raia 52 yaliyofanyika usiku wa Ijumaa hadi Jumamosi katika mji wa Goma wa mashariki mwa nchi hiyo ikisema kuwa, waasi wa M23 ndio waliofanya mauaji hayo ya umati.
Related Posts
Mapigano makali yaripotiwa jeshi la Sudan likizilenga ngome za mwisho za RFS huko Khartoum
Jeshi la Sudan jana Ijumaa lilikabiliana vikali na hasimu wake yaani Kikosi cha Wanamgambo wa Msaada wa Haraka (RSF) katika…

Rais wa Comoro aazimia kumkabidhi mwanawe madaraka
Rais wa Comoro, Azali Assoumani kwa mara ya kwanza amesema hadharani kuwa ana nia ya kukabidhi madaraka kwa mwanawe Nour…

Baghaei: Barua ya Rais wa Marekani kwa Iran inachunguzwa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya…