Serikali ya DRC na waasi wa M23 kufanya mazungumzo ya kwanza Aprili 9 nchini Qatar

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepanga kufanya mazungumzo ya kwanza kabisa na kundi la waasi wa M23, April 9 mwaka huu katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa lengo la kufikia mwafaka wa kurejesha amani katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *