Serikali ya Burkina Faso yakadhibisha kuhusu video bandia za mauaji zilizorushwa mtandaoni

Serikali ya Burkina Faso imelaani kuenea kwa video za upotoshaji kuhusu kujiri mauaji ya umati ya kikabila nchini humo. Serikali ya Burkina Faso imesema kuwa video hizo zilizosambaa mitandaoni ni kampeni kubwa ya vyombo vya habari ya kisiasa yenye lengo la kuchafua taswira ya nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *