Mwanadiplomasia mmoja wa Uingereza amefichua kuwa kiongozi wa kundi la wanamgambo la Hay-at Tahrir al-Sham HTS Abu Mohammed al-Jolani ameihakikishia Uingereza kwamba Syria “itaanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia” na utawala wa Kizayuni wa Israel, itautambua utawala huo, na kubadilishana nao mabalozi ifikapo mwisho wa mwaka ujao wa 2026.
Related Posts
Wabunge wa Iran walaani azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kislamu
Wabunge wa Iran wamelaani vikali azimio la hivi karibuni la Bunge la Ulaya wakilitaja kuwa ni “uingiliaji kati na upendeleo”…
Wabunge wa Iran wamelaani vikali azimio la hivi karibuni la Bunge la Ulaya wakilitaja kuwa ni “uingiliaji kati na upendeleo”…
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa: Wanaharakati wakosoaji wa Israel sio wahalifu
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa na wanaharakati wa mitandao ya kijamii wamelaani vikali kukamatwa kwa mwandishi maarufu wa habari Mmarekani…
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa na wanaharakati wa mitandao ya kijamii wamelaani vikali kukamatwa kwa mwandishi maarufu wa habari Mmarekani…
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa…
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa…