Serikali Uturuki yawaonya waandamanaji, wapinzani waapa kuyaendeleza

Serikali ya Uturuki imeonya dhidi ya wito iliosema ni “haramu” wa kambi ya upinzani kufanya maandamano mitaani ili kupinga kukamatwa Meya wa Istanbul, Ekrem Imamoglu, kufuatia maandamano ya maelfu ya watu kote nchini katika muda wa siku mbili zilizopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *