Serikali umesema itagharamia zoezi la uwekaji wa hereni kwenye mifugo nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha utambuzi …

Serikali umesema itagharamia zoezi la uwekaji wa hereni kwenye mifugo nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha utambuzi …

Serikali umesema itagharamia zoezi la uwekaji wa hereni kwenye mifugo nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha utambuzi na kuleta maboresho katika sekta ya mifugo.

Hatua hiyo inalenga kurahisisha usimamizi wa mifugo, ufuatiliaji wa taarifa zao, pamoja na kuongeza uwajibikaji wa wafugaji katika kutunza mifugo yao.

#AzamTVUpdates
✍Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *