Serikali imezipongeza shule binafsi kwa mchango wake katika kuendelea kuitambulisha Tanzania nje ya mipaka kupitia michango mbalimbali ikiwemo taaluma, ajira na ujuzi kwa wanafunzi.
Pongezi hizo zimetolewa katika harambee ya kuwachangia wanafunzi wenye uhitaji wanaopewa ufadhili wa masomo na shule ya sekondari ya Green Acres katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Esterbella Malisa ameandaa taarifa ifuatayo.