Serikali imesema ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 87.
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Greyson Msigwa leo Juni 11, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari Dodoma.
#Azamnewsupdates
✍ Warda John
Mhariri | @moseskwindi