Serikali imesema tayari ilishatoa maelekezo ya kisheria kuwa wafanyabiashara wanapaswa kuanza kulipa kodi ya ongezeko la thamani miezi sita baada ya kupewa namba ya utambulisho wa biashara (TIN).
Je, wafanyabiashara wanalifahamu hili?
Tuandikie maoni yako na tutayasoma kwenye #AdhuhuriLive ifikapo saa 7:00 mchana huu.