Sera ya Mashariki ya Kati ya Trump katika muhula wa pili wa urais wake itakuwaje?

Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu, tarehe 20 Januari 2025. Swali kuu ni: Je, sera yake kuhusu Mashariki ya Kati au Asia Magharibi itakuwaje katika muhula huu wa pili?