SEPAH: Muqawama utakomesha uwepo mchafu wa utawala wa Kizayuni

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran SEPAH limetoa taarifa na kutangaza kuwa: “Kambi ya Muqawama hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya wavamizi wa Palestina.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *