Seneti ya Ufaransa yajadili kupiga marufuku hijabu, kusujudu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwenye michezo, AI yapinga

Shirika la kuteta haki za binadamu la Amnesty International limesema wabunge wa Ufaransa lazima wakatae muswada wa kibaguzi ambao utapiga marufuku uvaaji wa nguo na alama eti “zinazoonekana kuwa za kidini” wakati wa mashindano ya michezo yote ya Ufaransa.