Seneta wa US avunja rekodi ya hotuba ndefu, ahutubia kwa saa 25 kukosoa sera za Trump

Seneta wa Marekani Cory Booker amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka 68 ya hotuba ndefu zaidi kutolewa katika historia ya Seneti hiyo alipozungumza kwa zaidi ya saa 25 kupinga na kukosoa sera za rais wa nchi hiyo Donald Trump.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *