Senegal yaadhimisha siku ya uhuru kwa mara ya kwanza bila ya uwepo mkubwa wa Ufaransa

Senegal iliadhimisha miaka 65 ya uhuru jana Ijumaa ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kuadhimisha siku hiyo bila ya uwepo mkubwa wa wakoloni wa Ulaya yaani Ufaransa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *