Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya hapa mjini Tehran ameashria mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya nyuklia kati ya Iran na Marekani yaliyoanza wiki kadhaa zilizopita na kusema: Timu ya mazungumzo ya Iran ina uzoefu mkubwa; na katika mazungumzo hayo inatetea kwa nguvu na irada kamili haki ya Iran ya kumiliki teknolojia ya amani ya nyuklia ambayo ni mtaji wa taifa.
Related Posts
Umoja wa Mataifa wapunguza msaada DRC kutokana na ukata wa kifedha
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, umepunguza kwa karibu nusu malengo yake ya misaada ya kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, umepunguza kwa karibu nusu malengo yake ya misaada ya kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

IRGC: Majibu madhubuti yanangoja Israeli kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas
IRGC: Majibu madhubuti yanangoja Israeli kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya…
IRGC: Majibu madhubuti yanangoja Israeli kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya…

Jeshi la Urusi lalezea kinachoendelea kwenye uwanja a mapambnao baada ya Ukraine kuivamia Urusi
Masuala ya kijeshi ya Urusi yanasasishwa kuhusu mapigano ya mpakaWizara ya Ulinzi ya Ukraine imesema kuwa imepoteza wanajeshi 260 katika…
Masuala ya kijeshi ya Urusi yanasasishwa kuhusu mapigano ya mpakaWizara ya Ulinzi ya Ukraine imesema kuwa imepoteza wanajeshi 260 katika…