Sasa Trump ameelewa, HAMAS haimuogopi

Mchambuzi mmoja mashuhuri wa ulimwengu wa Kiarabu amesema: “Kulazimika Donald Trump kuomba kufanya mazungumzo ni matokeo ya kufeli na kukata tamaa serikali yake katika njama zake za kuilazimisha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS itii amri zake.