Sasa mazungumzo baina ya serikali ya DRC na waasi wa M23 kufanyika Jumanne ijayo

Tarehe ya mazungumzo baina ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na waasi wa M23 imetangazwa. Sasa pande hizo mbili zitafanya mazungumzo ya ana kwa ana ya amani Jumanne ijayo ya Machi 18, 2025 huko Luanda, mji mkuu wa Angola.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *