‘Saratani ya koo iliondoa sauti na ndoa yangu’

“Niligundua uvimbe usio na maumivu kwenye shingo yangu ambao ulikataa kuondoka,” mama huyo wa watoto wawili ameiambia BBC. Madaktari baadaye walithibitisha ‘uvimbe huo aliokuwa akiutibu kwa dawa za kawaida ni saratani.