San’a: Iran haiingilii hata chembe maamuzi ya Yemen

Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesisitiza kuwa: Iran haingilii hata chembe maamuzi ya serikali ya San’a na kwamba operesheni za Yemen dhidi ya Wazayuni ni uamuzi huru na utaendelea kutekelezwa kivitendo hadi hadi mzingiro wa Ghaza utakapovunjwa kikamilifu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *