Ikiwa ni katika kujibu matamshi ya Steve Whitkoff, mkuu wa timu ya mazungumzo ya Marekani, Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: “Kufikiwa makubaliano kunawezekana na tuko tayari kuingia katika mazungumzo mazito. Kwa vyovyote vile, urutubishaji nchini Iran utaendelea tu, makubaliano yafikiwe au la.”
Related Posts
Mbunge: Israel kamwe haitopata ushindi; Ghaza itakuwa huru
Mbunge mmoja wa zamani wa Bunge la Ulaya, Bi Clare Daly ametoa ujumbe mzito wa kushikamana na Palestina wakati aliposhiriki…
Mbunge mmoja wa zamani wa Bunge la Ulaya, Bi Clare Daly ametoa ujumbe mzito wa kushikamana na Palestina wakati aliposhiriki…

Kuruhusu watu milioni mbili wa Gaza kufa kwa njaa ‘huenda ni maadili’ – waziri wa Israeli
Kuruhusu watu milioni mbili wa Gaza kufa kwa njaa ‘huenda ni maadili’ – waziri wa IsraeliBezalel Smotrich amelalamika kwamba haiwezekani…
Kuruhusu watu milioni mbili wa Gaza kufa kwa njaa ‘huenda ni maadili’ – waziri wa IsraeliBezalel Smotrich amelalamika kwamba haiwezekani…
Kumalizika operesheni ya kijeshi Tripoli; Libya yaingia tena kwenye mgogoro
Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza kumalizika kwa mafanikio operesheni ya kijeshi huko Tripoli…
Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza kumalizika kwa mafanikio operesheni ya kijeshi huko Tripoli…