Sababu gani zimepelekea kuongezeka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan?

Katika siku za hivi karibuni, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na walowezi dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan yameongezeka.